Burudani
Video: Iyanya aonjesha kipande cha video yake mpya ‘Mr Oreo’ inayotoka leo (Sept 23), tazama BTS
Iyanya ameonjesha kipande cha video mpya ya wimbo wake ‘Mr Oreo’ aliyoshoot nchini Marekani hivi karibuni. Video hiyo anatarajia kuitoa rasmi leo.Tazama kionjo
Tazama behind the scenes