Burudani

Video: Huyu ndio rapper wa kike Mtanzania mwenye jina Afrika Kusini

Rapper wa kike wa Bongo anayefanya kazi zake Afrika Kusini, Miss Kiki amefunguka sababu ya kuingia kwenye tasnia ya muziki pamoja na staili yake ya nywele.

Kiki ambaye ameishi nchini humo kwa takribani miaka 15 ameiambia Bongo5 kuwa ameanza muziki mwaka 2015 na staili yake ya nywele imetokana na kumfuatia kwa ukaribu Nicki Minaj.

“Muziki nimeanza 2015, because of love of music, I love good music. Nilikuwa napenda sana muziki 2010 kwenye ile kombe la dunia miziki ndio imeanza different type of sound, pale ndio nimependa but I wasn’t feeling that time. 2015 nilichoka kwa yale maswali niliyokuwa naulizwa, are a you hairstyle? Are a tattooer? Are you a presenter? Let me try, it won’t hurt me all you want to hurt anybody that comes to find out what people love me they are like we love what you are doing and that’s the way it carried on until now,” amesema Miss Kiki.

Kuhusu kupenda kuweka rangi kwenye nywele zake, Kiki amesema, “Nilikuwa namfollow Nicki since day one, alivyoanza kuweka hizi staili na mimi naweza kufanya mwangalie alivyo yupo free kwa nini najibana. I should start with a blue colour, ilikuwa ni blue na purple ever, ever since then ilikuwa rangi tu, ukitoka hapa kuna rangi nyingine inaingia.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents