Burudani

Video: Hush Up The Silence ya Wizkid yawachanganya Pogba na Lingard

Ni ukweli usiopingika kwa sasa Wizkid hana mpinzani Afrika kutokana na muziki wake kufika mbali zaidi. Wimbo wake mpya wa ‘Hush Up The Silence’ aliomshirikisha Drake umeonekana kukubalika na wachezaji wa Manchester United akiwemo Poul Pogba, Jesse Lingard na Fosu-Mensah.

https://youtu.be/M-rDXB0s0Yc

Wachezaji hao ambao ni marafiki wa karibu zaidi wameonekana katika kipande cha video ambacho Pogba amekiweka katika mtandao wa Instagram akicheza na Lingard wimbo huo kwa staili zao bianafsi huku Mensah akirekodi video hiyo.

Baada ya kuweka video hiyo, Pogba kupitia mtandao huo aliandika, “Having fun with my bro new celebration ????????????@jesselingard@tfosumensah51 #happy #blessed #pp.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents