Michezo

Video: Hili ndio goli bora lililoshinda tuzo ya Puskas inayotolewa na FIFA

By  | 

Mchezaji kutoka Malaysia Mohd Faiz Subri ameshinda tuzo ya Puskas inayotolewa na FIFA kwa mfungaji wa bao bora zaidi wa mwaka.


Faiz akikabidhiwa tuzo yake na Ronaldo

Faiz, ambaye anayechezea klabu ya Penang FA ndiye raia wa kwanza kabisa wa Malaysia kuwa mshindi wa tuzo hiyo.

Mchezaji ambaye ana miaka 29, alipata karibu asilimia 60 ya kura zilizopigwa kwa bao lake la frikiki alilofunga katika mechi ya Ligi Kuu ya Maaysia dhidi ya timu ya Pahang mwezi Februari

Alikabidhiwa tuzo hiyo na mchezaji soka mahiri kutoka Brazil, Ronaldo.

Hili ndio goli bora la FIFA

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments