Burudani

Video: Hermy B awataja Fid Q, Professor Jay na Mwana FA kuwa ndio waandishi bora Tanzania

Producer na CEO wa B’Hits Music Group, Hermy B, amewataja Fareed Kubanda aka Fid, Joseph Haule aka Professor Jay na Hamis Mwinjuma aka Mwana FA kuwa ndio waandishi bora wa mashairi Tanzania.

Hermy aliwataja rappers hao kwenye kipindi cha Mkasi baada ya kuulizwa na Salama Jabir ni wasanii gani anaowakubali zaidi kwa uandishi wao. Mtazame hapo juu akieleza kwanini anawakubali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents