Burudani

Video: Feza azungumzia maisha ya utangazaji, familia, masomo na ujio wake mpya kwenye muziki

Msanii wa muziki Feza Kessy, amedai mwaka huu atakuwa na kazi nyingi za muziki ambazo ameziandaa kwajili ya mashabiki wake.

Muimbaji huyo ambaye pia ni mtangazaji wa Choice FM, amedai baada ya kufanya vizuri kupitia utangazaji anajipanga kurudi upya kwenye muziki akiwa na project zakutosha.

“Watu wangu wategemee muziki wangu zaidi mwaka huu,” alisema Feza. “Kwa sababu wakati iliyopita nilikuwa natoa wimbo mmoja mmoja lakini mwaka huu kutakuwa na kazi nyingi zaidi pamoja na shows,”

Feza bado anafanya vizuri na video yake ya wimbo Walete aliouachia Septemba 27, 2016.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents