Videos
Video: Femi One f/ Kristoff – Tippy Toe
Baada ya kuachia wimbo wa ‘Jah’ miezi miwili iliyopita, rapper Femi One kutoka Kenya ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Tippy Toe’ aliomshirikisha Kristoff. Video imeongozwa na Johnson Kyalo.