Burudani

Video: Fat Joe, Remy Ma na French Montana wakiimba live

Wagombanao ndiyo wapatanao.

fat-joe-remy-real

Miaka kadhaa nyuma Fat Joe na Remy Ma walikuwa na bifu zito lakini kwa sasa wameungana na kutengeneza wimbo wa ‘All The Way Up’ waliomshirikisha French Montana.

Watatu hao walionekana jukwaani kwa mara ya kwanza wakiwa pamoja kwenye show ya The Real wakiimba wimbo huo.

Watazame hapo chini.

https://youtu.be/E07SKXMgCfM

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents