Videos

Video: Familia ya Obama kuhamia kwenye jumba hili la kifahari baada ya kutoka White House

Rais Barack Obama hatoenda mbali sana na ikulu ya white house pindi atakapostaafu.

Barack_Obama_family_portrait_2011

Kwa mujibu wa CNN, Obama atahamia kwenye jumba la kifahari ambalo mwanzo lilikuwa likimilikiwa na mkuu wa kitengo cha habari ikulu enzi za uongozi wa Bill Clinton, Joe Lockhart.

CNN wameandika nyumba hiyo ina ukubwa wa futi za mraba 8,200 na gharama ya kupanga ni -$22,000 kwa mwezi. Kwa sasa jumba hilo lina thamani ya dola milioni 7. Tazama video hiyo chini kuliona jumba hilo vyema.

https://www.youtube.com/watch?v=o-H7vlLEqcQ

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents