Burudani
Video: Dj Khaled afanya photoshoot na Simba
Dj Khaled amefanya photoshoot na Simba kwa ajili ya cover ya albamu yake ‘Major Key’ itakayotoka mwaka huu.
Ndani ya albamu hiyo Dj Khaled amewashirikisha mastaa kadhaa kama Jay Z, Future, Lil Wayne, Drake, Rick Ross, Big Sean, Chris Brown, August Alsina na Travis Scott.
Hiyo itakuwa ni albamu ya kwanza kwa Dj Khaled akiwa chini ya menejimenti yake mpya ya Roc Nation inayomilikiwa na rapper, Jay Z.
Tazama video hapa.