Burudani

Video: Diamond, Vanessa Mdee, Shaa na Joh Makini walipotumbuiza na wasanii wa Nigeria kwenye fainali ya Coke Studio Africa

Msimu wa pili wa Coke Studio Africa ulimalizika Jumamosi November 8 jijini Nairobi, Kenya ambapo wasanii wa nchi mbalimbali za Africa ikiwemo Tanzania walitumbuiza pamoja live.

http://youtu.be/jxSfgsF2LPI

Wasanii wa Tazania waliotumbuiza ni pamoja na Diamond aliyeimba ‘Mdogo mdogo’ na msanii wa Nigeria Yemi Alade, Vanessa Mdee aliimba ‘Closer’ na Burna Boy wa Nigeria, huku Joh Makini na Chidinma wa Nigeria wakiimba ‘Najiona mimi’, bila kumsahau malkia wa uswazi Shaa na yeye alipanda kwenye jukwaa hilo ambalo msanii wa kimataifa Wyclef Jean alishare na wasanii hao.

Tazama show zao zilivyokuwa

http://youtu.be/ZjCZ6GqoW2E
http://youtu.be/4FA5TnbQKCE
http://youtu.be/rquWgCAhY8Q

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents