Diamond Platnumz

Video: Diamond kuwashirikisha Wizkid au Timaya kwenye remix ya Mdogo Mdogo?

Huenda Diamond Platnumz akafikiria kufanya remix ya ‘Mdogo Mdogo’ baada ya kushauriwa na mtangazaji maarufu wa kituo cha runinga cha Soundcity cha nchini Nigeria, VJ Adams.

http://www.youtube.com/watch?v=bKybkeOMXoc&t=5m20s

Mtangazaji huyo anayeendesha kipindi cha Top 10 za Afrika Mashariki alikuwa akichat na Diamond na kumuuliza maana ya wimbo huo na kama ana mpango wa kufanya remix. Diamond alidai kuwa hajafikiria bado na kumuomba ushauri mtangazaji huyo aliyemwambia Wizkid au Timaya wanaweza kufit.

Acha tusubiri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents