Habari

Video: Diamond alipotumbuiza kwenye ‘African Unplugged’ iliyofanyika London (Sept 14)

Diamond Platnumz jana (September 14) alishare jukwaa moja na mastaa wa Nigeria Davido na Tiwa Savage katika show kubwa ya ‘African Unplugged’ iliyofanyika kwenye ukumbi wa 02 Academy Brixton jijini London, Uingereza.

d

Kituo cha televisheni BET International chenye makao yake makuu London, Uingereza walikuwa wakishare matukio (live) ya kilichokuwa kinaendelea jukwaani kupitia akaunti yao ya Instagram @bet_intl


“@diamondplatnumz just hit the stage!!! Tanzania representing at @africaunplugged #London”

“Quick message from @diamondplatnumz backstage after his performance. #africaunplugged #London #backstage”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents