Burudani

Video: Damian Soul akiongelea safari yake kimuziki

Diamond Soul ni mmoja wa wasanii wa rnb na soul wanaofanya vizuri kwa sasa nchini. Tayari ameshatoa ngoma kadhaa kali zikiwemo Ni Penzi na Baraka ambazo zote amemshirikisha Joh Makini. Mfahamu zaidi kwa kutazama mahojiano tuliyofanya naye hivi karibuni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents