Habari
Video: Cynthia Masasi akielekea kanisani leo kufunga ndoa
http://www.youtube.com/watch?v=L4zFY3lgHdc&feature=share
Hii ni video fupi iliyochukuliwa leo na Raqey Mohamed ya former video vixen/model wa Tanzania aliyewahi kuonekana kwenye video kibao za wasanii wa Marekani kama T.I, Yung Joc, Nelly, Juvenile, Jazze Pha, Rick Ross na wengine kibao.
Hapa anaelekea kanisani Azania Front kufunga mdoa na mchumba wake Richard Mziray.