Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Videos

Video: CeeLo Green amchokoza Jay Z kwa Beyonce

By  | 

Jay Z inabidi ajipange kwa Beyonce maana kuna vidume vingi vinammezea mate japo ameshazaa na rapper huyo na sasa akitarajia kupata mapacha hivi karibuni. Muimbaji CeeLo Green ameonyesha kuwa anamtamani Queen Bey kwa udi na uvumba.

CeeLo Green ameamua kuachia video iliyoongozwa na John Colombo ambapo amemtumia mtoto ambaye anafanana na umbo lake kucheza kwenye video ya wimbo huo akichukua nafasi yake.

Baadhi ya mashairi ya wimbo huo ambayo yanaweza kumshtua Jay Z ni pamoja na, “Jay Z is the king. And I’m probably his biggest fan / But there’s a feeling inside that I’m sure he’d understand / I’m in love with Bey and I wanna be her man.”

Tazama video hiyo hapa chini.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW