Video: Bob Junior – Kimbiji


Pin It

Baada ya kutamba na ngoma ya Kizembe Sasa msanii Bob Junior ameamua kuachia video ya ngoma yake nyingine mpya inayokwenda kwa jina la “KIMBIJI”.Ni ngoma ambayo imefanywa ndani ya studio ya Sharo baro Records kwakushirikiana na Combination Sound kwa Man Water

Pin It

Add a comment

comments