Burudani

Video: Bill Gates afanya Ice Bucket Challenge kwa mbinu ya Going Bongo?

ALS ni mwito wa kutumia ndoo ya maji baridi kuupinga ugonjwa wa ALS (Amyotrophic lateral sclerosis) kwa kuchangia pesa ya kusaidia kutibu ugonjwa huo. Mastaa wa Marekani na kwingineko wameendelea kufanya challengeā€ hii kwa kutumia mikono kujilowesha na ndoo ya maji.

Lakini Bill Gates (katika video ya juu) alitumia kamba kufunga ndoo yake kama ilivyokuwa kwenye kipande kimoja cha movie ya Going Bongo. Melinda Gates alipokuwa mapumzikoni Tanzania wiki chache zilizopita alipewa kopi ya filamu ya Going Bongo. Je inawezekana kuwa ndie aliyemshawishi Bill kufanya hivyo?

Tazama clip ya Going Bongo ambapo muigizaji mkuu Ernest anafanya challenge hiyo.

https://www.youtube.com/watch?v=IRueU4gY6Zg

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents