Burudani

Video: Beyonce na Nicki Minaj waitumbuiza ‘Flawless (Remix)’ live Paris

Queen Bey alipewa kampani na malkia wa rap Nicki Minaj (kama anavyojiita yeye) kwenye show ya “On the Run Tour” jijini Paris Ijumaa hii.

flawless

Nicki Minaj alipanda jukwaani kutumbuiza “Flawless (Remix)” na Beyoncé kwa mara ya kwanza live. Show hiyo ilirekodiwa kwaajili ya kuoneshwa kwenye HBO special, Jumamosi ya September 20.

Inasemekana kuwa wawili hao wanashoot video ya wimbo huo jijini Paris. Itazame video ya show hiyo hapo chini, utaipenda.

http://youtu.be/_m85S22dIao

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents