BurudaniVideos

Video: Angalia kionjo cha video mpya ya Madee ‘Vuvula’

Rais wa Manzese, Madee atafanya uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya Vuvula February 7 kwenye kiota cha Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam.

http://youtu.be/QXGsoH8Tl18

Hata hivyo kipande kifupi alichoweka meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale kwenye Instagram kimevutia comments nyingi kutoka kwa mashabiki waliohoji kuhusu msichana anayecheza jikoni akiwa na nguo zenye utata na kama itachezwa kwenye TV za Tanzania.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents