BurudaniVideos

Video: Alikiba ajibu kauli ya Diamond kuwa hana tatizo naye

Huenda itachukua muda mrefu kuja kuona Diamond na Alikiba wakiwa kitu kimoja tena ama kuweka tofauti zao pembeni. Ni kwasababu licha ya Diamond kuonesha kuwa yuko tayari kuyaacha yaliyopita yapite, upande wa wa Alikiba umeonesha msimamo tofauti. Tazama video hiyo chini ufahamu kilichoendelea.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents