Video: Ali Choki akifafanua kwanini tuzo za Kili zina kasoro


Pin It

Wakati ambapo wadau wa muziki wanasubiri kwa hamu majina ya wasanii watakaotajwa katika vipengele mbalimbali vya tuzo za Kili mwaka huu, mkurugenzi na kiongozi wa bendi ya Extra Bongo, Ali Choki amezikosoa tuzo hizo na kudai kuwa namna zinavyoendeshwa zimemfanya akatae kuhusishwa. Mtazame kwenye video akielezea kasoro hizo.

Pin It

Add a comment

comments