Burudani

Video: Album mpya ya Navy Kenzo inaitwa ‘Above in A Minute’

Navy Kenzo wataachia album mpya iitwayo Above in A Minute.

Wakiongea na Bongo5 hivi karibuni, Aika na Nahreel wanaounda kundi hilo, wamesema kuwa wimbo wao Game ni miongoni mwa zitakazokuwemo kwenye album hiyo.

Wamesema hadi sasa album hiyo imekamilika kwa asilimia 80.

“Tumekuja na sound kidogo tofauti na vile watu wamezoea kutusikia. Imetoka Game sasa hivi, Visa pia ipo kwahiyo tunaenda pia kutoa track nyingine soon tu kwenye video kama mambo yote yakienda vizuri,” amesema Nahreel.

“Mimi natamani hizo nyimbo ambazo zipo studio zitoke hata kesho lakini inabidi tusubiri, Game inafanya vizuri,” aliongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents