Burudani

Video: AKA ataja mambo anayohitaji akiwa kwenye tour, promota utamweza?

Umeshawahi kujiuliza inakuaje unapokuwa tajiri na mwenye fedha? Kwa AKA mahitaji anayotaka pindi promota anampomtaka kwenye show si haba.

12338635_969365283099326_305943937_n

Kwenye interview na DJ Sabby kwenye kipindi cha The Best Life TV, AKA aliweka wazi kile anachohitaji.

1. AKA anapanda business class pekee
2. Anapanda na ndege za South African Airways tu, hakuna Mango na Kulula.
3. Anataka achukuliwe na SUV
4. Yeye na timu yake huchagua hoteli wanayotaka kukaa
5. Ni lazima awe na mabaunsa watatu hadi wanne kwenye show yake
6. Anahitaji, Redbull, maji, chai ya ginger na taulo

Tazama interview nzima hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents