Burudani
Video: Abdu Kiba ft Ally Kiba – Kidela
Ni video mpya kabisa kutoka kwa wanandugu wawili Abdu Kiba akiwa amemshilikisha Kakaake Ally Kiba wameachia Video hii iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu sana.. video ya “KIDELA” ambayo imefanywa na kampuni ya Adam Juma “NEXT LEVEL”
http://youtu.be/WAX8FfiLDaM