Videos
Video: Snura – Majanga
Hii ndo ile video iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Snura. Angalia sasa hapa uone MAJANGA. Video imefanywa na kampuni ya Image Arraye Production. Baadhi ya vipande vya video hii vimerekodiwa nchini Afrika Kusini.
http://youtu.be/5Eqi7iPyVMg