Habari

Vibanda vyaungua Soko la Karume

karume_mitumba_motoUsiku wa jumamosi kuamkia juma pili ya Mai 8, soko la nguo za mitumba maarufu kama Karume liliungua moto na kuteketeza vibanda vya wamanjinga takribani 60, na kupoteza mali nyingi zilizokuwa zikiifadhiwa humo.


Inasemekana hitilafu ya umeme ndiyo sababu kubwa ya ajali hiyo ya moto, ambayo iliibuka mida inayokadiriwa ni saa sita usiku na kuzimwa saa nane za usiku huo nhuo.
karume_mitumba_nguo

 

Miongoni mwa vitu ambavyo vimeungua ni Cherehani, nguo za wateja na madaftari madeni na ya  wauzaji ambayo walukuwa wakiwadai wateja zao, na nguo mbalimbali za mitumba.

karume_mitumba

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents