Very sad news: R.I.P. Sharomillionea hatunaye tena


Pin It


Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga amethibitisha kwamba msanii wa Muziki wa bongoflava na vile vile mchekeshaji Sharomillionea amefariki dunia majira ya saa mbili za usiku wa leo, chanzo kinasema kuwa amepata ajali ya gari eneo la Muheza, Tanga.

Rest in peace Sharomillionea, kazi ya Mola haina makosa na tutakukumbuka daima.

Pin It

Add a comment

comments