Burudani

Vera Sidika awashtua mashabiki Instagram

Hakuna ubishi kuwa unapomuona mtu akiwa katika muonekano tofauti na uliouzoea au uliowahi kumuona nao lazima utabaki kumuangalia mara mbili mbili mpaka pale atakapotokomea.

Mrembo wa Kenya Vera Sidika amekuwa akifahamika kama kinara wa kuvaa vivazi vya ajabu huku akiachia sehemu kubwa ya maumbile yake yakiwa wazi huku vidume wakimmezea mate kwa kumtamani kwa vile alivyoumbika.

Lakini hali imekuwa tofauti kwa mrembo huyo baada ya Jumanne hii kupost picha katika mtandao wa Instagram akiwa akikatiza katika mitaa ya Dubai huku akiwa katika vazi la baibui ambalo watu hawajazoea kumuona akiwa amelivaa. Hizi ni baadhi ya comment za mashabiki katika picha hiyo.

ibtyzam: You look good in abaya????

zushali: Looking lovely habibty @queenveebosset

phenita_don_pocahantas: Si ww ni hilo buibui Dada

zayforeverbzn: Cjawahi coment but you look amaizing gal

danladi_humphrey_: Wow hajiya you are always frequenting Dubai nice pic

aabdibashir:
Looking beautiful buibui imekutoa kweli ,imeweza vera

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents