Burudani

Vanessa Mdee: Ni kweli Jux ni boyfriend wangu

Jux alishakiri kwa upande wake kuwa Vanessa Mdee ni girlfriend wake lakini Vee Money hajawahi kusema kwa mdomo wake mwenyewe kuhusu suala hilo hadi jana, Jumapili.

10958676_1630544703840231_923058955_n

Vee Money alikuwa mgeni kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM Jumapili hii ambapo mmoja wa wasikilizaji alitaka kujua ukweli wa uhusiano wao.

“Yes Feisal ni kweli, Jux is my boyfriend,” Vee alimjibu msikilizaji huyo.

Unaweza kusikiliza interview nzima hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents