Burudani

Vanessa Mdee kuwa host wa talk show mpya ‘The One Show’ ya TV1 (Tanzania)

Vanessa Mdee atakuwa mtangazaji wa talk show mpya iitwayo ‘The One Show’ itakayokuwa ikioneshwa kwenye kituo kipya cha TV nchini kiitwacho, TV1.

Vanessa

Show hiyo ni version ya Tanzania ya show kama hiyo inayorushwa kwenye kituo cha TV cha Viasat cha Ghana ambacho nacho kinamilikiwa na kampuni moja inayoimiliki TV1, MTG ya nchini Sweden.

Vanessa amesema show hiyo itakuwa ikiwahoji watu maarufu katika tasnia ya burudani nchini kuanzia wasanii wa muziki, filamu na wengine. Maelezo ya The One Show ya Ghana yanasema ni: Talkshow in Ghana that touches on social,topical,health,beauty,and celeebrity interviews geared more towards the average Ghanaian woman.

Vee amesema tayari wameanza kurekodi vipindi na show itaanza kuruka mwezi ujao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents