Burudani

Vanessa Mdee azungumzia show za mwaka huu zilivyomjengea uwezo wa kutumbuiza jukwaani

Vanessa Mdee amekiri kuwa show nyingi kubwa alizofanya mwaka huu zimemuongezea uwezo mkubwa wa kutumbuiza jukwaani.

vanessa

Vee ameiambia Bongo5 kuwa kila siku amekuwa akijitahidi kujifunza vitu vipya ili kuhakikisha show zake zinakuwa za tofauti. “Mtu ambaye ameshawahi kuperform atakuambia ‘the best way to learn or to practice ni kufanya tu kwenye performance,” amesema Vanessa.

“Kwangu mimi nimetumia muda mwingi kuperfect my performances, learning new moves na kutengeneza show ambayo ina elements za Fiesta. Nimejaribu kufanya kila kitu tofauti na kwa kufurahisha kwa mtu anayeangalia.”

“Kisanaa inanikuza sana sababu I get to practice on the other factors that make you an artist which is dancing and singing at the same time, kuperform na kuteka jukwaa na kuzungumza na watazamaji.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents