BurudaniVideos

Vanessa Mdee aelezea changamoto kubwa zaidi waliyonayo wasanii wa kike

Baadhi ya waigizaji wa kike wa filamu nchini Marekani waliwahi kulalamika utofauti wa malipo kati yao na wanaume.

13116650_1712020302388358_410167307_n

Kinachowaumiza zaidi ni kuwa wanaume hulipwa malipo makubwa zaidi kuliko wao hata katika uhusika unaofanana. Kwa mujibu wa Vanessa Mdee, hilo ni tatizo kubwa pia lililopo kwenye muziki wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.

“Kubwa zaidi ni masuala ya bookings msanii wa kike kupewa kile anachostahili, mwanaume atalipwa zaidi siku zote japo msichana ana hit song anaweza kuvuta wale wale atakaovuta akinakaka,” Vanessa aliiambia 255 ya XXL kupitia Clouds FM.

Vanessa ni miongoni mwa wasanii wa kike wanaofanya vizuri Afrika kwa sasa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents