Burudani

Uzinduzi wa filamu ya ‘The Hunger Games: Mockingjay – Part 1’ kufanyika London, Nov 10

Filamu ya ‘The Hunger Games: Mockingjay – Part 1’ itazinduliwa rasmi jijini London, Uingereza, November 10.

Screen-Shot-2014-09-30-at-8.30.12-PM

Muendelezo huo wa tatu, utamuonesha Jennifer Lawrence akiendelea na uhusika wake kama Katniss Everdeen.

Ziara ya habari kwaajili ya filamu hiyo itaanza Beijing November 1, ambapo waigizaji Jennifer Lawrence, Josh Hutcherson, Liam Hemsworth na Sam Claflin watahudhuria pamoja na muongozaji Francis Lawrence na watayarishaji Nina Jacobson na Jon Kilik.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents