Burudani

Uzinduzi wa albam ya Mansu-Li kufanyika Kigamboni

Baada ya kufanya uzinduzi wa albam ya Mansu-Li Kina Kirefu sehemu mbalimbali za jiji la Dar es salam, rapper huyo anatarajia kuizindua tena huko Kigamboni ambapo atafanya bonge la show katika club ya Kakala, January 12.

Katika uzinduzi huo Mansu-Li atapewa shavu na wakali kibao wakiwemo Jay Mo, One Incredible,Nash Emcee Ngwear.

tunategemea kufanya show ya kweli kwa wana wa Kigamboni kwahiyo nawaomba wadau wa Hip Hop na wasio wadau, waje waone na washuhudie uzinduzi wa albam yangu ya Kina Kirefu ambayo ina ngoma za ukweli,” amesema Mansu-Li.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents