Burudani

Utani wa Karrueche Tran juu ya mtoto wa Beyonce & Jay Z wamgharimu producer wa kipindi, BET yamsimamisha

Never mess with the Carters!! Baada ya mpenzi wa Chris Brown, Karrueche Tran kufanya utani juu ya mtoto wa Jay Z na Beyonce, Blue Ivy kupitia kipindi cha 106 & Parks cha BET Jumatatu wiki hii, ripoti zinasema kuwa producer wa kipindi hicho amesimamishwa.

blue2

Chanzo cha ndani ya kituo hicho aliyetaka kutotajwa jina amesema producer huyo amesimamishwa baada ya Karrueche kusema “I really wake up like this because my parents never comb my hair”, kama utani wa alichokuwa anakiwaza Blue kwenye MTV-VMA.

Karrueche na kituo hicho cha BET walishaomba radhi juu ya utani huo ambao umegeuka kuwa ishu kubwa ambayo huenda Karrueche atakua anaujutia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents