Habari

Utafiti: Size ya ‘Korodani’ ina uhusiano na jinsi baba anavyohusika kwenye malezi ya mtoto

Waswahili wanasema ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi lakini wanasayansi wanasema ukubwa wa Korodani za mwanaume (testicles) si kigezo cha uanaume kamili katika kujihusisha na majukumu ya baba na ulezi.

black-father-and-son

Wanayasansi wamegundua uwepo wa uhusiano mkubwa kati ya size ya korodani za baba na jinsi alivyo active katika kukuza watoto wake.

normal abnormal testicle

Watafiti kwenye chuo kikuu cha Emory cha Marekani, wamedai kuwa wanaume wenye korodani (map***bu) ndogo, wako tayari kuhusika kwenye shughuli kama za kumbadilisha mtoto nepi, kumlisha au kumuogesha.

Source: BBC News

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents