Burudani
Under 30 Awards: Linah, Ben Pol na Vanessa Mdee kuchuana kwenye kipengele cha burudani
Majina ya vijana walio chini ya miaka 30 watakaochuana kwenye tuzo za Under 30 Awards 2013 yametangazwa. Haya ni majina yatakayochuana kwenye tuzo hizo mpya zilizoanzishwa na taasisi ya Youth For Africa (YOA).