Burudani

Unapenda kujua ngoma za kusikiliza wakati sakata la Escrow likiendelea kuvuma? #EscrowPlaylist inakuhusu

Wakati sakata la Tegeta Escrow likiendelea kutawala mazungumzo ya watanzania wengi, kwenye mtandao wa Twitter, watu wameamua kutojistress sana na upigwaji wa mabilioni hayo ya shilingi kwa kuanzisha hashtag #EscrowPlaylist. Yes, jamaa wanazitaja nyimbo za kusikiliza katika kipindi hiki.

money bag

Hizi ni baadhi ya nyimbo zilizotajwa:
Taste the Money – P-Square
Show You the Money – Wizkid
I am So Paid – Akon f/ Young Jeezy & Lil Wayne
Check and Balance – Burna Boy
Don’t Tell Em – Jeremiah
Energy – Keri Hilson
Here we go again – Mario
Oops … I did it again – Britney Spears

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents