Burudani

Unafahamu kiasi alicholipwa rapper Nicki Minaj katika show yake ya kwanza? Ni sawa na wanavyolipwa baadhi ya wasanii wa bongo fleva….

Onika Tanya Maraj maarufu kama Nicki Minaj aliyezaliwa (Dec 8, 1982) ni moja kati ya wasanii wenye historia ya kusimulia wapi walikoanzia hustles za kutafuta doo kupitia kazi ya muziki.

Nicki m-2

Je unafahamu kwamba show ya kwanza na Nicki Minaj alilipwa $750 sawa na Million 1 na laki 2 ya Tanzania kama malipo yake ya kuperform? Kama ulikuwa hufahamu ninaku dedicate wimbo wa Ay na Mwana FA ‘ha ha…Habari Ndo Hiyo’.

Minaj ameshare picha kupitia akaunti yake ya Instagram ikimuonesha akiwa na wenzake wawili kipindi hicho na kuandika “Haha! My 1st show! I got paid $750 – TT & Candice was there too. #Love This was 80’s themed!!!”

minaj insta

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents