BurudaniVideos

Ummemiss Kanda Bongo Man? Mtazame hapa akihojiwa kwa Kiswahili (Video)

Kanda Bongoman ni moja ya majina ya wasanii yaliyovuma sana na kufanya vizuri hasa katika maeneo ya Afrika Mashariki na kati. Alitamba na ngoma zake ukiwemo ‘Muchana’. Hivi karibuni alipata nafasi ya kuongea na Salim Kikeke wa BBC Swahili na kusema anakuja na album yake mpya anayoirekodia nchini Afrika Kusini.

http://youtu.be/DdOp7nEesJs

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents