Burudani

Umeiona video mpya ya R.Kelly ‘Happy Birthday? Mashabiki wadai kapotea njia (18+)

Miaka 10 iliyopita muziki wa R&B ulikuwa umetawaliwa na Robert Kelly.

https://www.youtube.com/watch?v=kSR7rN2Tq20#t=172

Nyimbo zake zilikuwa zinaweza kukufanya ulie, upata matumaini au ufurahi kutokana na sauti nzuri na ujumbe wake mahsusi.

Miaka ya hivi karibuni mfalme huyo hawiki tena. Kwa kuona kuwa muziki wa sasa umebadilika, naye ameanza kutengeneza muziki ambao kwa imani za wengi ndio unaopendwa na vijana wa sasa na kufanya biashara pia.

Kelly mwenye umri wa miaka 48, ameachia video ya wimbo wake ‘Happy Birthday’ ambayo kwa kiasi kikubwa imetawaliwa na wanawake warembo wenye mat*ko makubwa. Hii huwezi kuitazama na watoto au watu unaowaheshimu.

Mashabiki wake wameipokea video hiyo kwa mitazamo tofauti huku wengi wakidai kuwa Kelly amepoteza njia.

“Some people are scared to grow up. R.Kelly’s video look like a video Bobby Shmurda would do. And Kellz is 48 years old and Bobby Shmurda is 20. Damn how you can be that old and still behave like a teenager? It’s not even sad it’s ridiculous. And the song is garbage. So Kellz deserves donkey of the month for this one,” ameandika shabiki mmoja.

“This is some bulls&*t here…grow up man…u too old for this type of music & lifestyle…or if u dont want, to atleast make movies.”

“Damn when R Kelly is doing this type of shit, it makes me realize how shitty music is getting. Dude is ATG and ill still by albums, but i hope he has better crap than this. Nice beat, same ol tired lyrics rest of morons have now.”

Wapo pia wanaodhani kuwa ni sahihi kwa R.Kelly kufanya aina hiyo ya nyimbo.

“It’s real sad How you guys can hate , we obviously know he’s a old individual who is also a legend. You guys got to leave the past and keep up with what’s going on . This song here is going to make him money. Yo r Kelly let the money pile up and live your life this here fire.”

“In about a week, this will have over 1 million views. Beyonce put out a similar song. So what’s wrong with Kellz doing it? He’s just having fun, he’s already proven his talent.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents