Burudani

Ujumbe wa Zari kwa Diamond anayesherehekea birthday yake leo (Oct. 2)

Nasibu Abdul a.k.a Diamond Platnumz leo (Oct 2) anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa ameongeza mwaka mwingine.

Zarimond

Kama ilivyo ada kwa mtu kupata pongezi kutoka kwa watu mbalimbali katika siku special kama hii, miongoni mwa pongezi nyingi alizopokea Diamond ni pamoja na ya mzazi mwenzake na ‘mke mtarajiwa’ Zari The Boss Lady au mama Tiffah, ambaye ameamua kumwandikia ujumbe mtamu na kushare na followers wake.

Huu ndio ujumbe wa Zari kwa Diamond aliopost kwenye mitandao ya kijamii;

dai na tiffah

“Everything i could say has been said and you’ve prolly heard it over and over but; this year you celebrate your birthday as a father a blessing and a gift that’s bigger than life its self. Your birthday gift came earlier this year there isnt anything else i can give you. So allow me to wish you a happy birthday as BABA TEE. May the almighty God continue showering you with blessings over your career and MOST IMPORTANTLY to grant you many more years to see @princess_tiffah start her grade one, see her to university, date boys (i know you don’t wana hear this but its going to happen ), hand her out in marriage and lastly to be able to see our grand kids (Tiffah’s babies) that said, Allow me to wish you a happy birthday my kipenzi @diamondplatnumz”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents