Burudani

Ujumbe exclusive wa Chege kwa Mafans

 

Bongo 5 imepokea ujumbe mahususi kwa mafans wa Chege moja kwa moja kutoka kwa star huyo, kama Ifuatavyo:

‘Kwa wale wapenzi wa Muziki wangu, wanaotupa support bila kuchoka, ningependa mfahamu kwamba, Kwa sasa nipo pande za Nairobi na wanangu wagenge,tunapiga video mpya ya ngoma inayoitwa ‘Kila Moja’ ya Nonini ft Lady bee na mimi mchizi wenu Chege.

Ni bonge moja la colabo mazee…hapa hapa B5 mzigo utashuka mtaweza kuusikia.

Kila La Kheri Chege..Bongo Flavour inazidi kupaa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents