Bongo Movie

Ujio mpya wa Mzee Chilo, Uwoya na Haji Adam

Movi_face

Jana nilikuwa nimepozi wakati nikiangalia uchukuaji wa Movie moja ambayo ilivutia sana kutokana na Scene zake kuwa za kuvutia. Yote zaidi ya yote nilivutiwa sana na mwigizaji Irene Uwoya, ambaye mara kwanza nilikuwa nikidhani kwamba huenda aliingia kwenye sanaa kwa bahati mbaya, bila kujua uwezo alio nao. Jana nikagundua  Uwoya ambaye aliigiza kama Polisi aliweza kunikuna sana kutokana na uhusika jinsi alivyouvaa na kunifanya nisisimke na kuvutia hasa na hiyo filamu hata kabla haijaisha na kuingia mtaani

Zaidi ya Irene Uwoya, pia nilivutiwa na Swahiba wangu wa karibu Haji Adamu, maarufu kama mkali wa hisia hasa pale alipokuwa akitoa hisia zake, akitamani kulia. Jb ndiye aliyekuwa Director wa filamu hiyo, wakati mzee Chilo akiingiza kama mkuuwa polisi. Hebu angali baadhi ya scene na utani ambao ulikuwa ukifanyika wakati wa uandaaji wa filamu hii.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents