Michezo

Tyson Fury: Amshangaa Klitschko kwa kujiruhusu kupigwa na ‘manyama uzembe’ kama yeye

Bondia kutoka nchini England, Tyson Fury haishi vituko amevua fulana yake kuonyesha kitambi huku akimkandia mpinzani wake, Wladimir Klitschko kwa kujiruhusu kupigwa na ‘manyama uzembe’ kama yeye.

33966E1800000578-3561480-image-a-125_1461761607594

3396C42500000578-3561480-image-a-154_1461766115702

Alifanya kituko hicho katika Mkutano na Waandishi wa Habari kuelekea pambano lao la marudiano la uzito wa juu litakalofanyika baadae mwaka huu kwanza kaingia na warembo ambao kwenye makalio kuna herufi zinazounda jina lake.

33976CB400000578-3561480-image-a-17_1461776064018

3396CCF400000578-3561480-image-a-144_1461765350094

Fury ambaye atatetea mataji yake ya dunia ya WBA na WBO aliyoyatwaa kwa kumshinda Klitschko mjini Dusseldorf, Ujerumani Novemba mwaka jana katika pambano litakalofanyika ukumbi wa Manchester Arena Julai 9.

3396BD2300000578-3561480-image-a-135_1461764640986

Kama haitoshi, akaanza kumshangaa Klitschko kushindwa na mtu kama yeye ambaye alijiita bonge. Akavua shati na kuonyesha tumbo lake.

Tyson aliendelea kuendelea kusisitiza kushangazwa na mpinzani wake asiyeweza kuonyesha uwezo wake na kumshinda bonge kama yeye.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents