Habari
Tyga wa Young Money apata mtoto wa kiume
Rapper Tyga na mpenzi wake Blac Chyna wamepata mtoto wa kiume waliyempa jina la King Cairo Stevenson.
Blac Chyna ametoa taarifa hizo kupitia Twitter: