Burudani

Twanga wala sahani moja na Waandishi

Migo_akiwa_kwenye_sherehe_za_mwaandishi

Bendi ya Muziki ya Africans Stars wanawa kutwanga na kupepeta, juzi wamefanya vizuri katika sherehe za tamasha la Bonza la  Waandishi wa habari lililofanyika katika ufukwe kwa Cine Club jijini Dar es salaa, ilikuwajumuisha waandishi wote kwa pamoja na kuwafanya wajisikie amani.

Bendi hiyo iliweza kujumuika na waandishi hao katika maongezi, msosi na hata buludani ambayo waliitoa waliomba waandishi kuwa nao pamoja.

 

Luiza_Mbutu
Mamaa Luiza Mbutu, akipata maakuli kabla ya kuingia stejini

madensa_wa_twanga
Mnenguaji wa kiume katika bendi hiyo ya Twanga, akiwa kwenye pozi akisubiri muda wa kuachia mambo yake

Mashabiki_wa_twanga
Hapa wanenguaji wakiwa na baadhi ya waandishi wakiingia sehemu ya msosi, kwaajiri ya kupata chakula kwa muda huo wakati bonanza likiendelea.

misosi
Hapa masuala ya msosi, kwani kila mmoja alikuja ili kuweza kujiongeazea nguvu na tamasha liweze kwenda kama inavyotakiwa.

mwimbaji_wa_twanga
Mwimbaji wa twanga, akiwa na mnenguaji wa bendi hiyo wakibadilishana mawazo kidogo.

Wakari_wa_Twanmga
Hapa sijui jamaa alikuwa akiwaeleza nini, maana kila mmoja alikuwa na lake kwa siku hiyo

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents