Awards

Tuzo za KTMA 2014 kurushwa live kwenye vituo vitatu vya runinga

Tuzo za muziki za Tanzania, KTMA 2014 zitarushwa live kwenye vituo vitatu vya runinga nchini.

kavishe

Meneja wa bia ya Kilimanjaro, George Kavishe amevitaja vituo hivyo kuwa ni pamoja na Clouds TV, EATV na Star TV.
Ugawaji wa tuzo za hizo utafanyika Jumamosi hii kuanza saa tatu usiku kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents