Habari

Tuzo za AFRIMMA kufanyika Jumamosi hii (July 26) Marekani, T-Pain, Davido, Diamond, Iyanya kutumbuiza

Tuzo za ‘African Muzik Magazine Awards’ (AFRIMMA) zinatarajiwa kufanyika Jumamosi ya wiki hii (July 26) huko Texas, Marekani.

Wasanii walioko kwenye orodha ya kutumbuiza ni pamoja na Davido, Iyanya, Diamond Platnumz, Khulichana, Flavour, 2Face, T-Pain na wengine.

Nominees wa Tanzania katika tuzo hizo ni pamoja na Diamond Platnumz ambaye anawania vipengele 5, Ben Pol,Lady Jaydee, Mrisho Mpoto na producer Sheddy Clever wote wanawania kipengele kimoja kila mmoja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents